Barabara ya Kijichi – Mbagala Kuu, Dar es Salaam kama ilivyokutwa jana. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Butiama, Bw. Haji Mgaya, alisema, zahma hiyo ni ya muda mrefu na Manispaa ya Temeke ina taarifa lakini mpaka leo iko kimya. Picha zote na Mdau wetu Nathan Mpangala.
0 comments:
Post a Comment