BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AUNAGANA NA KAFULILA JUU YA TUHUMA YA WIZI BOT NA TANESCO LAZIMA LIFANYIWE UCHUNGUZI NA TUKURURU.


Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameeleza kuwa tuhuma zilizotolewa na Kafulila jana kuhusu Utapeli wa Mabilion ya Shilingi Kati ya BOT na Tanesco Ni Lazima Ufanyiwe uchunguzi wa Kina Kubaini nini Hasa Kiliendelea na kama Patakuwa na Kasoro Basi Waliohusika Wachukuliwe Hatua Kali.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: