Mwanadada Serena Williams kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM ameshare nasi picha ambazo yeye mwenyewe kaziandika kama " Bikini wedding crasher!" na nyingine akaiandika kama "Wedding crasher!! Congrats" akionekana amevalia kinguo cha kuogeaTukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita, Meam Beach ambapo Serena alikuwa akibalizi maeneo ya kisha Maharusi walikuwa wakipiga picha ...walivyo muona wakamuita na kupiganaye picha.
Kwa mujibu wa vyombo vya UDAKU inasemakana Serana na maharusi hao walifurahia tukio hilo.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / MAVAZI YA SERENA WILLIAMS NA MAHARUSI, KWELI KAZI KWELI KWELI SIJUI TANZANIA INGEKUAJE MAANA....NI AIBU !!!!
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment