WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA.
Hii kauli ya Mhe Waziri mkuu ukiisiliza kwa ukani basi utangua kuna baadhi ya maneno alishindwa kutamka pengine kutokana na kuwa ndani ya Bunge ama laa.
Nahisi kama angekuwa hana cheo alichonacho basi pengine kungekuwa na maneno mengine ya kimtaa mtaa lakini aliyafichwa kwa kuwakilisha kwa neno eeeee, eeeeee na ameyatamka zaidi ya mara tatu.
Sikiliza kwa umakini hii video utagundua jambo.
Post by Dismas Lyassa.
0 comments:
Post a Comment