BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA WATUHUMIWA KESI YA MTOTO NASRA (MTOTO WA BOSKI) NAMNA WANAVYOENDELEA KUSOTA MAGEREZA MOROGORO.

Mtuhumiwa wa kesi ya mtoto Nasra Rashid Mvungi, Mariam Said (mwenye kiremba kichwani) akiwa chini ya ulinzi mkali wakati alipofikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro kusikiliza mashtaka hayo pamoja na wenzake (hawapo pichani), mashtaka hayo yatatajwa tena julai 24 mwaka huu.PICHA/MTANDA BLOG.




Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: