TOP TEN MABAO BORA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014, BAO LA MHOLANZI BADO LATIKISA DUNIA.
Michuano ya kombe la dunia ipo kwenye hatua ya robo fainali ambayo itaanza rasmi Ijumaa hii. Michuano hii ya mwaka huu imekuwa na magoli mengi na bora katika historia ya michuano hii mikubwa kabisa katika soka.
Millardayo.com inakuletea video ya magoli 10 bora ya kombe la dunia kwenye hatua ya makundi.
0 comments:
Post a Comment