NI AJALI NYINGINE TENA, BASI LA KAMPUNI YA HOOD YAGONGANA NA DALADALA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WATANO JIJINI ARISHA.
Wananchi wakiwa wamekusanyika baada ya basi la Hood linalofanya safari kayi ya Arusha na Mbeya kugongana na daladala katika eneo la Kilala jijini Arusha na kusababisha watu watano kufariki dunia.
Muonekano wa basi la Hood lililokuwa linatoka Arusha kuelekea jijini Mbeya baada ya kupata ajali kwa kugongana na daladala eneo la Kilala jijini Arusha asubuhi ya leo.
Muonekano wa Hiace hiyo kwa mbele baada ya ajali.
Watu watano wamekufa baada ya basi la Hood kwenda Mbeya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi ya leo na abiria wengi kujeruhiwa.
0 comments:
Post a Comment