SERIKALI YATANGAZA NASAFI ZA MASOMO YA STASHAHADA YA UALIMU WA SEKONDARI (SAYANSI NA HISABATI) KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE
Ili kuona vigezo na masharti ni lazima kompyuta yako ama simu yako iwe na uwezo adobe reader (PDF). Kama haina huo uwezo hutaweza kusoma tangazo hili. Mwisho wa kutuma maombi ni 15/08/2014
BONYEZA HAPA KUFAHAMU VIGEZO NA JINSI YA KUJIUNGA
0 comments:
Post a Comment