BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA UVAMIZI WA NJIA YA CHINI NA MAPIGANO BAINA YA HAMAS NA MAJESHI YA ISRAE UKANDA WA GAZA, HIVI NDIVYO SINEMA ILIVYO.


Afisa wa jeshi la Israeli anatoa maelezo kwa waandishi habari alipowapeleka kwenye njia ya chini kwa chini inayosemekana kutumiwa na wanamgambo wa Palesina kufanya mashambulizi ya kuvuka mpaka.

Waandamani wa Palestina wajificha nyuma ya pipa la taka wakati wa mapambano na wanajeshi wa Israeli dhidi ya uvamizi wa Israel huko Gaza, karibu na makazi ya Wayahudi ya Bet El, karibu na mji wa Ramallah, Ukingo wa Magharibi.

Wanajeshi wa Israeli wakimbia karibu na makazi ya walowezi ya Bet El wakati wa mapambano na Maandamanaji wa ki-Palestina wanaopinga uvamizi wa Israel huko Gaza.
Palestinians take cover during clashes with Israeli soldiers following a protest against the Israeli military action in Gaza, at an area near the Beit El Jewish settlement and the West Bank city of Ramallah.

An Israeli soldier aims his gun at Palestinian protesters during clashes in Hawara village near the West Bank city of Nablus.

Smoke and flames are seen following what witnesses said was an Israeli air strike in Gaza City.

Palestinians look at a damaged vehicle amid debris in an area hit by an Israeli airstrike in Gaza City.

Palestinian volunteers donate blood at the blood bank of Ramallah Hospital in the West Bank.

Smoke from an Israeli strike rises over the Gaza Strip.

Palestinians carry the body of Mohammed al-Araj during his funeral in the Qalandia refugee camp near the West Bank city of Ramallah.

Relatives and friends of Israeli soldier Daniel Pomerantz, who was killed during fighting in Gaza, mourn during his funeral in Kfar Azar, near Tel Aviv.
Israeli soldiers carry the flag-draped coffin of their comrade Daniel Pomerantz, who was killed during fighting in Gaza, at his funeral in Kfar Azar, near Tel Aviv.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: