BREAKING NEWS !!! JESHI LA POLISI LATUMIA MBWA NA VIRUNGU KUTAWANYA WAFUASI WA CHADEMA JIJINI DAR ES SALAAM. mtanda blog 1:02 PM Edit HABARI ZA HIVI PUNDE: Jeshi la polisi jijini Dar es salaam limelazimika kutumia mbwa na virungu kuwatawanya wafuasi wa Chadema baada kuandamana kuelekea makao makuu ya jeshi la polisi. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment