Mpira umemalizika kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam. Timu ya Yanga ikiibuka na Ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Timu ya Tanzania Prisons.
FULL TIME...JKT RUVU 0 vs 2 KAGERA SUGAR, SALUM KANONI NA RASHID MANDAWA WAIPATIA USHINDA KAGERA.
Viongozi wa Kagera Sugar
Mabao ya Kagera Sugar yalifungwa na Salum Kanoni na Rashid Mandawa kwenye Uwanja wa Azam Complex Jijini Dar es salaam
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment