Watu wanne wajeruhiwa vibaya baada ya daladala kukosa mwelekeo na kwenda kugonga tela la trekta katika kijiji cha Narunyu Kiwalala mkoani Lindi jana.
Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa kuwa kilitokana na mwendo kasi uliomshinda dereva kuendesha gari kwa madai ya kufanya mambo mawili akiwa barabarani.
Kazi moja ikiwa kuendesha gari na kutumia simu ya mkononi kuandika ujumbe mfupi. PICHA KWA HISANI YA Abdulaziz Ahmeid Abdulaziz.
0 comments:
Post a Comment