BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

JESHI LA POLISI NA HEKA HEKA ZA KUDHIBITI VURUGU MKOA WA mOROGORO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2014.

Kamanda Leonard Paulo kulia akiandaa maafisa wake kwa ajili ya majumuku ya usimamizi na kuimarisha ulinzi na usalama katika uchaguzi wa serikali za mitaa kaatika kituo kikuu cha polisi Morogoro.


 Askari wakiwa tayari.
Kamanda akikagua magari kabla ya kuyaruhusu kwenda katika vituo mbaalimbali vya kupigia kura katika Manispaa ya Morogoro
 Baadhi ya maafisa wa jeshi hilo.
Wananchi wakiwa katika mistari mirefu ya kwenda kupiga kura ya kuchagua mwenyekiti wa serikali ya mtaa kata ya Chamwino Morogoro.
Mkazi wa Chamwino akihakikiwa jina katika daftari ili kupewa karatasi za kupigia kura.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: