BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

LIVE: KIPINDI CHA PILI: AMIS TAMBWE 3 DHIDI YA POLISI MORO SC 0 LIGI KUU TANZANIA BARA UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM.

http://galacha.com/kandanda_admin/uploads/posts/ad71b4fad74681c054c6e2d69f59c0fa.jpgDakika ya saba kipindi cha pili mshambuliaji Amis Tambwe anaipatia Yanga SC bao la pili baada ya kazi nzuri ya Simon Msuva jygongea vyema na kiungo Harouna Niyonzima kabla ya Msuva kufumua shuti kali akiwa ndani ya 18 na mlinda mlango wa Polisi Moro SC, Abdu Badi kuutema kisha Tambwe kumalizia mpira huo wavuni, Yanga SC 2-0 Polisi Moro SC.



Dakika ya 15 kipindi cha pili, Amis Tambwe anapachika bao la tatu baada ya kazi nzuri ya Mrisho Ngassa na kuifanya Yanga iongoze kwa bao 3-0 yote yakipachikwa na Amis Tambwe.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: