Mshambuliaji Yanga SC, Amis Tambwe amepachika bao LA kuongoza dakika ya 42 na kuiwezesha timu yake kwenda mapumziko kutoka kifua mbele kwa kuongoza bao hilo dhidi ya Polisi Moro SC katika mchezo unaofanyika kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / michezo
/ LIVE: KIPINDI CHA KWANZA: YANGA SC 1-0 POLISI MORO SC LIGI KUU TANZANIA BARA UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment