YANGA SC YAIBUKA NA USHINDI WA BAO 5-0 DHIDI YA RUVU SHOOTING LIGI KUU TANZANIA UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM
Mshambuliaji Simon Msuva anafunga bao la pili kwa upande wake lakini likiwa bao la tatu kwa klabu yake ya Yanga SC dhidi ya Ruvu Shooting katika dakika ya 45 + 1, baada ya kuunganisha kwa kichwa krosi iliyochingwa na Haruba Niyonzima na kujaza mpira wavuni na kufanya mchezo huo kwenda mapumziko Ruvu Shooting ikifungwa bao la 3-0.

DAKIKA ya 56 Mshambuliaji Amissi Tambwe anaifungia Yanga SC bao la nne kwa kutumia vizuri makosa ya beki wa Ruvu Shooting, Salvatory Ntebe aliyeshindwa kuondoa mpira eneo la hatari na mpira kumkuta mfungaji katika kipindi cha pili cha mchezo huo unaondelea katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji Kpah Sherman anaipatia Yanga SC bao la 5-0 dhidi ya Ruvu
0 comments:
Post a Comment