BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

CHAMA CHA WANANCHI CUF WATOA MSIMAMO MKALI JUU YA MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015.

 

Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara Mhe. Magdalena Sakaya

Chama cha wananchi CUF leo asubuhi kupitia viongozi wake akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara Mhe. Magdalena Sakaya kimetoa ufafanuzi wakati kikiongea na waandishi wa habari juu ya taarifa zinazoendelea kutapakaa nakutoa ufafanuzi wa mambo yafuatayo
1.CUF wamedhibitisha kuwa hawajajitoa UKAWA.


2.Kuhusu kutohudhuria kikao cha UKAWA jana wamedhibistisha kuwa hawakuhudhuria kwasababu hawakupewa taarifa za kikao mapema hivyo wakashindwa kuhudhulia, pia kimesema kwa sasa wamekuwa na vikao vinavyojadili kwa upana juu ya namna watakavyogawana madaraka endapo wakishinda uchaguzi mkuu wa mwezi oktoba

3.Kuhusu UKAWA kuchagua mgombea wa urais wamesema hawamtambui aliyechaguliwa na watakaa wote tarehe 25 mwezi huu kuamua nani atakuwa mgombea wa urais kupitia UKAWA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: