DK. WILBROAD SLAA AELEZA KUWA KAMA ATAKUWA RAIS WA TANZANIA 2015 ATAMSWEKA RUMANDE MGOMBEA WA URAIS DK JOHN MAGUFULI.
Dr. Wilbroad Slaa akihojiwa na Radio Five ya jijini Arusha jioni ya leo, baada ya kuulizwa swali nini maoni yake kuhusu uteuzi wa Magufuli kuwania Urais.
Dk Slaa alieleza kuwa endapo UKAWA wakimpa nafasi na Watanzania wakampa kura za kutosha kushinda Urais mkuu Oktoba jambo akalo fanya ni kumtia Dk John Magufuri ndani ili kujibu tuhuma za uuzwaji wa Nyumba kwa bei ya kutupa.
Katibu huyo wa chama kikuu cha upinzani cha Chadema alioongelea mambo mengi yanayohusu chama hicho na Ukawa: Chanzo: Radio five, Arusha
0 comments:
Post a Comment