KITUO CHA POLISI BUNJU DAR ES SALAAM CHACHOMWA MOTO NA WANANCHI
Baadhi ya wakazi wa Bunju wamevamia na kukichoma moto kituo cha polisi Bunju A baada ya polisi kufyatua mabomu ya machozi na risasi za moto kuwatawanya wananchi waliofunga barabara baada ya mwanafunzi mmjoa kugongwa na gari na kufariki.
Polisi walilazimika kukimbia na gari lao baada ya kuona wananchi wanawazidi nguvu kwa kurusha mawe na kukiacha kituo hicho bila ya ulinzi ndipo wananchi walipokivamia kituo kuvunja milango na kuwatoa wahalifu waliokuwa wakishikiliwa na kisha kukichoma moto
Picha kutoka Jamii Forum
0 comments:
Post a Comment