BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAJAMBAZI YAUA POLISI WANNE NA RAIA JIJINI DAR ES SALAAM.

 
Tukio la ujambazi kituo cha polisi Sitakishari lililotokea saa 5 usiku wa kuamkia leo ambapo jumla ya watu saba wamefariki dunia kwa kupigwa risasi katika shambulio lililofanywa na majambazi

 
Kati ya watu hao, wanne ni askari polisi ikijumuisha na askari mgambo mmoja na raia wawili.

Kwa upande wa raia wawili, mmoja ni mtuhumiwa ambaye ni mwanamke na mgambo ambaye naye ameuawa na mwingine ni jambazi.

Katika tukio hilo mtu mmoja alireruhiwa huku askari wa kike akifanikiwa kutoroka bila jeraha ambapo majambazi hayo yalifanikiwa kupora silaha aina ya SMG 15 na redio ya upepo moja (Radio Call).



Kwa taarifa zaidi tutaendelea kuwapatia kadiri ya uwezo wetu.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: