Mgombea urais kupitia CCM, Dkt John Pombe Magufuli pichani kulia mwenye koti jeusi akipiga tumba katika bendi ya Msondo ngoma wakati ikitumbuza, Dkt Magufuli ameonyesha umma wa watanzania na dunia kuwa ni mmoja wa viongozi wenye vipaji vingi ikiwemo katika fani ya muziki kama anavyoonekana pichani.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment