Kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni: 1) John Magufuli 2) Asharose Migiro 3) Amina Salum Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kuwasilishwa MKUTANO MKUU WA TAIFA ili kupata jina moja (1) la mgombea Urais 2015
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment