BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WAGOMBEA URAIS CCM, WAPAMBE NA WANANCHI MATUMBO JOTO WAKISUBIRI TANO BORA.

UTANI TU, RAIS KIKWETE NI KAMA ANASEMA HIVI KUWAELEZA WAGOMBEA URAIS WA CCM.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, akizungumza jambo huku Katibu Mkuu Abdurahaman Kinana akimwangalia kwa mshangao.

 
Mwenyekiti huyo wa CCMA NI kama anasema hivi "asiyetaka kukatwa jina lake ili libakie jina moja ahame tu, tunataka tubaki na mmoja tu ndiyo awe chaguo la CCM katika kupeperusha bendera yetu katika uchaguzi mkuu ujao oktoba 25 mwaka huu."

NAPE NNAUYE AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI.
Name:  Picha.JPG
Views: 0
Size:  81.3 KBWAKATI HUO HUO Muda uliopita Katibu na Uenezi CCM . Nape Nnauye aliongea na waandishi wa habari kuhusu kikao kilichofanyika jana usiku.
Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa White House, Mjini Dodoma leo Julai 10, 2015 akieleza taarifa juu ya kuchelewa kwa vikao vya CCM ambavyo vilikuwa vianze Julai 8, 2015 amesema kuwa vikao hivyo vitakuwa vikianzia saa 4 asubuhi na tano bora na tatu bora ya Wagombea itafahamika leo hii. 
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: