Baadhi ya waandishi wa habari na wanajamii wakifuatilia mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kushirikiana na vyombo vya habari wananchi na jamii katika kata mbili za Dakawa na Melela wilaya ya Mvomero, ambapo mradi huo unaendeshwa na TAMWA kwa kushirikiana na shirika la Legal Service Facility (LSF), mkoani Morogoro.
Washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia matukio pamoja na Sakina Nyumayo kutoka kituo cha wasaidizi wa kisheria Morogoro.
Mwandishi wa kituo cha redio cha Planet FM, Bismass Shilla akizungumza jambo waakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kushirikiana na vyombo vya habari wananchi na jamii katika kata mbili za Dakawa na Melela wilaya ya Mvomero, ambapo mradi huo unaendeshwa na TAMWA kwa kushirikiana na shirika la Legal Service Facility (LSF) mkoani Morogoro.
Mwandishi na Mtangazaji wa kituo cha Luninga cha Abood Media, Emmanuel Victor Mdoe akitoa mafunzo katika moja ya sekta ya fulsa zinazohusu wanawake.
Mmoja wa mafunzo hayo akifuatilia matukio yaliyokuwa yakiendendelea.
Mratibu wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Morogoro, Thadei Hafigwa akizungumza jambo katika mafunzo hayo.PICHA/MTANDA BLOG
0 comments:
Post a Comment