Itakumbukwa mwaka 2014 Emmanuel Mbasha ambae ni mwimbaji wa injili na mfanyabiashara alifunguliwa mashataka mawili mahakama ya Ilala kwa makosa mawili ikiwemo la ubakaji.
Katika shitaka la kwanza Mei 23, mwaka 2014 eneo la Tabata Kimanga, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, ilidaiwa kinyume cha sheria alimuingilia kwa nguvu msichana anayedaiwa kuwa shemeji yake.
Katika shitaka la pili, ilidaiwa kuwa Mei 25, mwaka 2014 eneo la Tabata Kimanga, jijini Dar es Salaam, kinyume cha sheria, mshtakiwa aliumuingilia kwa nguvu mfanyakazi wake.CHANZO:jamiiforums.com
0 comments:
Post a Comment