Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani nyumbani kwake eneo la Mikocheni, Dar es Salaam jana.
Marehemu Kombani anatarajiwa kuagwa leo katika Viwanja vya Karimjee, jijini na kusafirishwa kwenda Morogoro kwa maziko yanayotarajiwa kufanyika kesho katika kijiji cha Lukobe.
Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Jenista Mhagama. (Na Mpigapicha Wetu).
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / kitaifa /
siasa /
slider
/ MAOMBOLEZO: KIFO CHA CELINA KOMBANI NYUMBANI KWA MAREHEMU MIKOCHENI DAR ES SALAAM
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment