BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MTIBWA SUGAR KUENDELEZA FURAHA MBELE YA YANGA YA AKINA DONALD NGOMA NA AMIS TAMBWE UWANJA WA JAMHURI LEO MORO ?.


Mlinzi wa Mtibwa Sugar, Salim Mbonde akipongezwa na Vicent Barnabas na Shabaan Nditi baada ya kufunga wakati wa mchezo wao wa ligi kuu Tanzania bara katika uwanja wa Manungu Turiani mkoani Morogoro.PICHA ZOTE NA MTANDA BLOG 

Kikosi cha Ndanda FC kilichocheza na Mtibwa Sugar uwanja wa Manungu Complex Turiani na kuambulia kipigo cha bao 2-1 kwa mabao ya Beki Salim Mbonde namshambuliaji, Said Mahanuzi a.k.a Mnyamwezi
Kikosi cha Mtibwa Sugar.

Fred Mbuna akisalimiana na kipa wa Mtibwa Suga kabla ya kuanza kwa mchezo wao.
Kikosi cha Majimaji FC kilichofungwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar uwanja wa Manungu Complex Turiani chni ya nahodha Fred Mbuna.
Washangiliaji wa klabu ya Mtibwa Sugar wakishangilia wakati wa mchezo wao dhidi ya Majimaji FC ambapo waliibuka kidedea kwa bao 1-0 lililofungwa Shiza Kichuya kwa njia ya mpira wa penalti.

Kikosi cha Mtibwa Sugar kilichoibuka na ushindi wa bao 1-0.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: