BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

IDDY ADAMU NA ZUBERY THABITI WAFIKISHWA MAHAKAMA KWA TUHUMA ZA KUBAKA MSICHANA KISHA KUMWINGILIA KINYUME NA MAUMBILE MOROGORO.


Sehemu ya baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Morogoro wakiwa wamejazana katika mahakama hiyo wengine wakisikiliza kesi hiyo katika chumba cha mashtaka.
Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro limewafikisha vijana sita mahakamani wakiwemo wawili, Iddy Adamu na Zuberi Thabiti wakituhumiwa kumbaka msichana (21) eneo la Dakawa na kumwingilia kinyumbe na maumbile bila ridhaa yake kisha kusambaza picha chafu za ngono katika mitandao ya kijamii leo.

Kesi hiyo itatajwa tena Juni Mosi mwaka huu baada ya watuhumiwa wote kukana mashtaka huku wakinyimwa dhaamana kwa madai ya kuvuga upelelezi.



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: