BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

POLISI WAFYATUA MABOMU YA MACHOZI BAADA YA BODABODA KUGONGWA NA LORI KISHA KUPOTEZA MAISHA.

Moshi. Polisi wa Kutuliza Ghasisi (FFU) mkoani Kilimanjaro wametumia mabomu kuwatawanya wananchi wa eneo la Tarakea wilayani Rombo, waliokusanyika kutaka kuwekewa matuta, mwendesha pikipiki kugongwa na lori la kubeba magogo na kufa papo hapo, wananchi walianza kuhamasishana na kufunga barabara.

Kamanda wa Polisi Mkoa Kilimanjaro, Wilbroad Mutafungwa hakupatikana kuelezea tukio, lakini Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo alithibitisha kutokea kwa vurugu hizo. 


“Tumetumia busara zote kuhakikisha barabara hiyo inafunguliwa lakini ikashindikana, hivyo polisi na Serikali tukalazimika kutumia nguvu,” alisema Kipuyo.MWANANCHI
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: