Septemba
*1* 2 3 4 5 6 7
8 *9* 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
_*Tarehe 1 Septemba ni siku ya 244 ya mwaka (ya 245 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 121.*_
*Matukio yaliyowahi kutokea September Mosi*
☀ *01/09/1181* - Uchaguzi wa Papa Lucius III
☀ *01/09 /1923* - Tetemeko la ardhi katika mji wa Kanto, Ujapani linaua watu 140,000
☀ *01/09/1939* - Vita Kuu ya Pili ya Dunia ilianza
☀ *01/09/1969* - Muammar al-Gaddafi anapindua serikali ya mfalme Idris I na kutangaza Jamhuri ya Kiarabu ya Libya
☀ *01/09/2015* Dr. Slaa aliwahutubia Watanzania toka Hoteli ya Serena na kutangaza kuacha siasa.
*MATUKIO YANAYOTARAJIA KUTUKIA*
☀ *01/09/2016* Maandamano na mikutano ya UKUTA nchi nzima
☀ *01/09/2016* Wanajeshi kufanya usafi nchi nzima
☀ *01/09/2016* Kutokana na utabiri wa hali ya hewa kutakuwa na KUPATWA KWA JUA
☀ *01/09/2016* Waziri mkuu kuhamia Dodoma
0 comments:
Post a Comment