Kocha wa maarufu wa mchezo wa soka nchini, Mohamed Msomali amefariki dunia leo mkoani Morogoro katika kifo cha ghafla nyumbani kwake mtaa wa stesheni.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa, Katibu mkuu mtendaji wa chama cha soka Morgoro. MRFA, Charles Mwakambaya alieleza juu ya kifo hicho kilichotokea majira ya saa 8 mchana nyumbani kwake.
Taarifa zaidi tunaendelea kukusanya
0 comments:
Post a Comment