Sean anasoma darasa la saba katika shule ya Margaret Beaufort ameruhusiwa kukaa nyumbani (Paternal Leave) ili kuwa karibu na mpenzi wake aliyejifungua wiki hii aitwae Emma Webster
Sean alitimiza miaka 12 mwezi mmoja uliopita , na alimpa ujauzito Emma akiwa na miaka 11 huku Emma akiwa na miaka 15 Sean anasema alishtuka kwa mara ya kwanza aliposkia Emma ana ujauzito wake ila kwa sasa ana jiona yupo sawa na ana furaha isiyo na kifani.
0 comments:
Post a Comment