Rais John Pombe Magufuli ameleza kuwa ndege mmoja kati ya ndege nne zinazotengenezwa nchini Canada inatarajia kutua nchini Septemba 19 mwaka huu kama serikali yake ilivyoahidi kwa kufufua shirika la ndege la Tanzania.
NDEGE YA KWANZA YA SHIRIKA LA NDEGE LA TANZANIA KUTUA NCHINI SEPT 19 MWAKA HUU IKITOKEA CANADA
Rais John Pombe Magufuli ameleza kuwa ndege mmoja kati ya ndege nne zinazotengenezwa nchini Canada inatarajia kutua nchini Septemba 19 mwaka huu kama serikali yake ilivyoahidi kwa kufufua shirika la ndege la Tanzania.
0 comments:
Post a Comment