Wanasema kuwa ufanyaji kazi wa kumbukumbu hupungua kwa kati ya asilimia 41 na 67 kulingana na idadi ya upigaji kwa kutumia kichwa na hurudi katika hali ya kawaida baada ya masaa 24.
Mmoja wa watafiti hao Dr Magdalena Letswaart amesema ingawa mabadiliko sio ya kudumu lakini kuna umuhimu katika Afya ya Ubongo, hivyo wachezaji wanatakiwa kuwa makini na nini kinatokea ndani ya ubongo.
Chuo hicho kimesema kuwa watafanya uchunguzi ili kujua kama madhara yatakua ya kudumu baada ya kucheza mara kwa mara mpira wa miguu na kutumia kichwa.
0 comments:
Post a Comment