"Mimi siyo CCM lakini kwa utendaji wa Rais Dkt. John Magufuli tumpe nafasi afanye kazi yake yeye ni mchapakazi na mzalendo, kaleta nidhamu serikalini, nidhamu ya matumizi ya fedha, udhibiti wa kodi umefanya watu tuheshimiane nchini kwenye sekta mbalimbali"- Afande Selle.
0 comments:
Post a Comment