BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MKUU WA WILAYA AWAHENYESHA MKURUGENZI NA MHASIBU WAKE KWA KUWASWEKA LUPANGO.

Mkuu wa Wilaya Sengerema, Emmanuel Kipole amewasweka ndani kwa saa 12 kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya Sengerema, Osicar Kapinga na kaimu mhasibu wa halimashauri hiyo, Paul Sweya pamoja kwa kutokutii agizo lake aliliowapa la kutafuta fedha za kuwalipa wanaofanya usafi katika mji wa Sengerema. 

Amefikia maamuzi hayo baada ya watumishi hao kukaidi agizo lake alilowapa la kutafuta fedha kisha kuwalipa wafanya usafi hao ambao wanaidai halmashauri hiyo kwa miezi 6 na imekuwa kila mara wanapigwa danadana na kuahidiwa kulipwa lakini suala hilo halitekelezeki.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: