BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWIZI AELEZWA NA HAKIMU KUMUIGA MWANAMUZIKA WA HIP HOP 50 CENT


Hakimu mmoja nchini Australia amemtaka kijana mmoja kumuiga mwanamuziki 50 Cent ili kuepuka maisha ya uhalifu.

Hakimu Deen Potter alitoa matamshi hayo wakati alipokuwa akimhukumu kijana huyo mwenye umri wa miaka 16 kutokana na shtaka la wizi.

''Kama wewe alikuja hapa kutokana na hali ya kutisha na yenye kiwewe'',alisema hakimu,''lakini sasa ameweza kuepuka''.

Nyota huyo wa mziki wa Hip Hop kwa jina Curtis Jackson anayezingirwa na utata aliipata umaarufu baada ya kuwa katika maisha ya uhalifu, dawa za kulevya na ghasia.

Kijana huyo alikuwa anakabiliwa na mashataka 49 baada ya kuiba mali yenmye zaidi ya thamnai ya dola 7,000.

''Katika kipindi cha miaka 10 ijayo nataka kukuangalia na kuona mafanikio yako''.bbc
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: