BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS MAGUFULI AMVUA MADARAKA MKURUGENZI WA UPELELEZO WA MAKOSA YA JIDAI (DCI) DIWANI ATHUMAN



Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Diwani Athuman.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Rais Magufuli ametengua uteuzi huo leo.

Bila kutoa ufafanuzi wa sababu za mkuu huyo wa nchi kuchukua hatua hiyo, taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa Athuman atapangiwa kazi nyingine. 


“Kufuatia uamuzi huo, uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai utatangazwa baadaye,” imeeleza sehemu ya taarifa kutoka Ikulu.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: