Picha ya maktaba ikimuonyesha mbunge wa Arusha mjini akiwa amelala.Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema (CHADEMA) ameugua gerezani Kisongo na kushindwa kuhudhuria mahakamani leo, katika kesi inayomkabili dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.CHANZO/NIPASHE
0 comments:
Post a Comment