BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UKIVUKA MITIHANI YA MAISHA SIO KWA UJANJA WAKO BALI UMESHIKWA MKONO

Moja ya mambo yanayotakiwa kufanywa mara baada ya kuvuka mikwazo vya hapa na pale katika mitihani ya kusaka maisha.

Kutokana na baadhi ya tabia za watu kuwa na tabia za kushindwa kukumbuka walikotoka, ni vyema kuwa na tabia ya kukumbuka historia ya mafanikio yako lakini mambo mawili yasisahauke.

Mtu wa kwanza unayepaswa kutomsahau ni yule aliyekusaidia ukiwa kwenye wakati mgumu wa kutafuta fursa za kujinasua na maisha magumu.


Nafasi ya pili ni yule mtu aliyekukimbia nyakati za wakati mgumu hasa ulipokuwa na shida za kila aina mtu huyu anapaswa kuheshimiwa pengine hata kulipa fadhila kwa namna utavyoweza.

Ni vizuri watu wakakumbuka chanzo cha mafanikio yao, japo wakati huo utakuwa upo juu kimaisha.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: