Idara ya Polisi inasema kuwa, zaidi ya wafungwa kumi wameuwawa baadhi yao kwa kukatwa katwa katika makabiliano makali kati ya magenge hasimu katika gereza hilo la AlcaƧuz.
Mwaka jana pekee zaidi ya wafungwa 100 wamefariki katika makabiliano kama hayo yaliyofanyika awali mwezi huu nchini humo katika magereza yaliyoko katika majimbo ya Amazonas na Roraima.
0 comments:
Post a Comment