BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ASKARI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI CHAENDESHA OPERESHENI YA KUKAMATA MADEREVA WANAOPINDISHA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI MOROGORO

Mwendesha pikipiki Manispaa ya Morogoro akiwa amepakia abiria watatu wakati akiwasafirisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine jambo ambalo ni kinyume na sheria za usalama barabarani, Askari wa kikosi cha usalama barabarani kimekuwa kikiendesha operesheni ya ukamamataji madereva wote wanaovunja sheria hizo.PICHA/MTANDA BLOG
Askari wa kikosi cha usalama barabarani Manispaa ya Morogoro wakiwa wamemkamata mwendesha pikipiki baada ya kuvunja sheria ya usalama barabarani eneo la njia ya watembea kwa miguu ya fire-Masika wakati wa operesheni endelevu ya ukamataji salama kwa madereva wa pikipiki wasiozingatia sheria za usalama barabarani.PICHA/MTANDA BLOG

Askari akimkamata mwendesha pikipiki ambapo baada ya kubainika hutozwa faidi kiasi cha sh60,000 ambapo makosa yanayoangaliwa ni pamoja na kutovaa kofia ngumu, kubeba abiria zaidi ya mmoja, leseni na makosa mengine.

Afande Jumanne Zuberi kushoto akikagua pikipiki baada ya kuikamata.

Huyu naye akiendesha pikipiki huku akiwa anaongea na simu.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: