BREAKING NEWS ! CCM YAPITISHA MAJINA 12 KUOMBA UBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI
KAMATI KUU YA CCM TAIFA LEO IMEWAPITISHA WAFUATAO KWENDA KUWANIA NAFASI YA UBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI:
TANZANIA BARA:
WANAUME.(4)
1.DR. NGWARU
2.ADAM KIMBISA
3.MACHA
4.MAKONGORO NYERERE
WANAWAKE BARA (4)
1.ZAINABU KAWAWA
2.HAPPINESS LUGIKO
3.FANCY
4.HAPPINESS TANZANIA ZANZIBAR:
WANAWAKE (2)
1.MARIAM YAHYA
2.RADHIA AMIN
WANAUME (2)
1.ABDALAH MAKAME
2.MOHAMED NUHU.
0 comments:
Post a Comment