Mbunge wa Kilombero(Chadema) Peter Lijualikali.
Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam, imemuachia huru mbunge wa Kilombero(Chadema) Peter Lijualikali.
Lijualikali amekutwa hana hatia katika kesi hiyo ambayo alihukumiwa kifungo cha miezi sita kwa kosa la kufanya vurugu wakati wa uchaguzi wa mwaka 2015.
Hata hivyo mawakili wake walikata rufaa na leo mahakama imemuona hana hatia katika madai hayo.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / siasa /
slider
/ MBUNGE WA KILOMBERO PETER LIJUALIKALI AACHIWA HURU NA MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment