AGNESS MASOGANGE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MIWILI JELA KWA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA
Agnes Masogange amehukumiwa kifungo cha kwenda jela miaka miwili au kutoa faini ya sh 1.5 milioni za kitanzania kwa kukutwa na hatia ya kutumia madawa ya kulevya.
0 comments:
Post a Comment