MKUU WA USALAMA BARABARANI MKOA WA MOROGORO, LEORNAD GYINDO KUSHOTO AKIMSIKILIZA DEREVA WA BASI LA MORO BEST T 846 BCU AMIN MZIGILA KULIA AKIELEZEA NAMNA AJALI ILIVYOTOKEA.
MAJERUHI WA AJALI HIYO AKIPANDA GARI LA TENESCO ILI KWENDA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MOROGORO.
ASKARI WA USALAMA WA BARABARA MKOA WA MOROGORO AKIMUONGOZA MTOTO KWENDA KUPANDA GARI.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment