KULIA LORI LENYE NAMBA YA USALI T 593 AGA LIKIWA LIMEEGESHWA BAADA YA KUHARIBIKA AMBALO LIMESABAISHA KUTOKEA KWA AJALI MBILI ZA BASI LA TAQWA MAJIRA YA SAA 1:30 AM LEO NA BASI LA MORO BEST T 846 BCU MAJIRA YA SAA 4:4:O4 AM JANUARI 05, 2012 NA ABIRIA 22 KUJERUHI KUTOKANA NA MAGARI KUSHINDWA KUPISHANA.

KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGORO ADOLPHINA CHIALO (MWENYE SHARTI NYEUPE) AKIWA ENEO LA TUKIO BAADA YA KUTOKEA AJALI HIYO.

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment