KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGORO ADOLPHINA CHIALO (MWENYE SHARTI NYEUPE) AKIMSIKILIZA KAIMU KAMANDA WA MKOA HUO, JOSEPH RUGILA KUSHOTO WAKATI WA TUKIO HILO.
WASAMALIA WEMA WAKIWA KATIKA PICHA MBILI TOFAUTI WAKIONEKANA WAKIWA WAMEBEBA MIILI YA ABIRIA BASI HILO MARA BAADA YA KUFARIKI DUNIA ILI KUPAKIA KWENYE GARI TAYARI KUPELEKWA CHUMBA CHA KUHIFADHI MAITI MKOA WA MOROGORO.
ALAMA ZA MAGURUDUMU YA LORI ILIYOSABABISHA AJALI IKIONEKANA KATIKA BARABARA KUU YA IRINGA-MOROGORO.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment