BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AJALI YA BASI LA LUCKY SAFFARIS LASABABISHA VIFO VYA ABIRIA WAWILI NA MAJERUHI 33 MOROGORO.

KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGORO ADOLPHINA CHIALO MBELE NA KAIMU KAMANDA WA JESHI HILO MKOA HUO, JOSEPH RUGILA KATIKATI WAKIKAGUA BASI LA LUCKY SAFFARIS T 510 AMZ LILILOKUWA LIKITOKA DAR ES SALAAM KUELEKEA IRINGA KUPATA AJALI NA KUPINDUKA ENEO LA MKATA WILAYA YA MVOMERO MKOANI HAPA, KATIKA BARABARA KUU IRINGA-MOROGORO AMBAPO ABIRIA WAWILI WALIFARIKI DUNIA PAPO HAPO NA 33 KUJERUHIWA AMBAPO CHANZO CHA AJALI HIYO KINADAIWA KILISABABISHWA NA DEREVA WA LORI WAKATI AKIJARIBU KULIPITIA GARI LINGINE BILA KUCHUKUA TAHAFADHALI KABLA YA DEREVA WA BASI LA LUCKY KUINGIZA BASI HILO KWENYE MTARO NA KUPINDUKA.


HAPA WASAMALIA WEMA WAKISAIDIA KUTOA MIZIGO KUTOKA KWENYE BASI.


WAANDISHI WA HABARI, RAMADHAN LIBENANGA MAJIRA KULIA NA HAMIDA SHARIFF MWANANCHI WA KWANZA KUSHOTO WAKISAIDIANA NA ASKARI WA USALAMA BARABARA WAKATI WAKIWA NA MAJERUHI WA AJALI YA BASI LA LUCKY SAFFARIS T 510 AMZ, MWANAISHA MWINYIKOMBO MKAZI WA KIGOGO DAR ES SALAAM KUFUATIA BASI HILO KUPATA AJALI NA KUOPINDUKA ENEO LA MKATA MVOMERO BARABARA KUU MOROGORO-IRINGA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: