ABOOD MRADI WA MAJI KINGLWORA MANISPAA YA MORO
Diwani wa kata ya Kinglwila Manispaa ya Morogoro Mariamu Kiamani wa kwanza kulia akifafanua jambo sehemu ya maungio katika mto Mgolole kwa mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood (mwenye kaunda suti) wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa mradi wa maji katika mto Mgolole kata ya Bigwa kwa wakazi wa mji mdogo wa Kinglwila unaofadhiliwa na United National Capital Development Fund (UNCDF) kupitia mfuko wa usawa wa kijinsia wa Manispaa ya Morogoro ambapo kukamilika wake utasaidia wakaakazi zaidi ya 7675 na utaghalimu kiasi cha sh 1.1Bil.
Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood wa pili kutoka kushoto akikagua ujenzi wa mradi wa maji katika mto Mgolole kata ya Bigwa kwa wakazi wa mji mdogo wa Kinglwila unaofadhiliwa na United National Capital Development Fund (UNCDF) kupitia mfuko wa usawa wa kijinsia wa Manispaa ya Morogoro ambapo kukamilika wake utasaidia wakaakazi zaidi ya 7675 na utaghalimu kiasi cha sh 1.1Bil.
0 comments:
Post a Comment